Franz Berwald
Mandhari
Franz Adolf Berwald (23 Julai 1796 – 3 Aprili 1868) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uswidi. Nae alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera wa karne ya 19. Alizaliwa mjini Stockholm, na huyu hakubahatika kuwa na wapenzi kabisa katika tungo zake. Hivyo ikamgharimu kutafuta njia nyingine za kumwezesha kuishi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Berwald Biography Ilihifadhiwa 22 Aprili 2005 kwenye Wayback Machine., a brief biographical sketch on the site of GMN ClassicalPlus
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franz Berwald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |