Nikolai Rimsky-Korsakov
Mandhari
Nikolai Andreyevich Rimsky-Korsakov (Kirusi:Николай Андреевич Римский-Корсаков, Nikolaj Andreevič Rimskij-Korsakov, pia Nikolay, Nicolai, na Rimsky-Korsakoff (18 Machi 1844 - 21 Juni 1908) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa mtunzi maarufu wa kipindi cha Romantic na ana athari kubwa za watunzi wengine wa Opera. Huyu pia ni mmoja kati wa watunzi watano mashuhuri wa Kirusi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Song of Scheherazade at the Internet Movie Database
- The Rimsky-Korsakov Home Page
- Principles of Orchestration Ilihifadhiwa 24 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine. full text with "interactive scores."
- Rimsky-Korsakov ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores by Nikolai Rimsky-Korsakov katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nikolai Rimsky-Korsakov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |