Carl Maria von Weber
Mandhari
Carl Maria von Weber (alizaliwa mjini Eutin, Holstein, kunako tar. 18 Novemba 1786 na kufariki mjini London kunako tar. 5 Juni 1826) alikuwa mtunzi wa Opera muhimu na mashuhuri kutoka nchini Ujerumani. Bwana huyu alitunga opera nyingi tu, na tungo hizo ni kama vile Der Freischütz, Euryanthe na Oberon ambazo ndiyo maarufu. Aliandika ala za muziki wa ajili ya mabendi mbalimbali, na ala hizo zilitungika vizuri sana.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Information about the new Carl Maria von Weber Edition Archived 15 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- The works of Carl Maria von Weber
- Carl Maria von Weber cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Free scores by Carl Maria von Weber katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Carl Maria von Weber ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Der Freischütz Soprano (free MP3)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Maria von Weber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |