César Franck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

César Franck
Cesar franck.jpg
Amezaliwa10 Desemba 1822
Amefariki8 Novemba 1890
Kazi yakealikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji


César Franck (10 Desemba 1822 - 8 Novemba 1890) alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji-Kijerumani aliyekuwa anaishi nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati wa watunzi maarufu wa kipindi cha romantiki. Alikuwa mpigaji kinanda wa Kanisa la Mtakatifu Clotilde la mjini Paris kwa zaidi ya miaka 30 na akawa anafundisha vijana wengi wenye vipaji vya muziki. Miziki yake iliyomingi ambayo ni maarufu zaidi, aliitunga akiwa tayari yungali mtu mzima.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Franck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber