Nenda kwa yaliyomo

9 Juni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Juni ni siku ya 160 ya mwaka (ya 161 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 205.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Efrem wa Syria, Primo na Felisiani, Diomede wa Nisea, Vinsenti wa Agen, Masimiano wa Siracusa, Kolumba, Richadi wa Andria, Yosefu wa Anchieta n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.