Richard Eberhart
Mandhari
Richard Ghormley Eberhart (5 Aprili 1904 – 9 Juni 2005) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1966 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Eberhart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |