Masimiano wa Siracusa
Mandhari
Masimiano wa Siracusa (Sicilia, leo nchini Italia; Siracusa, Sicilia, 594) alikuwa mmonaki, halafu abati bora mjini Roma.
Huko aliwahi kulea katika maisha ya kimonaki mwanasiasa atakayekuwa Papa Gregori I, na ambaye alimtaja na kumsifu mara nyingi katika maandishi yake.
Mwaka 591 alifanywa askofu wa Siracusa hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Juni[2][3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/56580
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Great Synaxaristes: (in Greek) Ὁ Ὅσιος Μαξιμιανὸς ὁ ἐκ Συρακουσῶν. 9 ΙΟΥΝΙΟΥ. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- O. Garana, I Vescovi di Siracusa, Emanuele Romeo Editore Siracusa, 1994
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |