Mesopotamia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mesopotamia ni jina la kihistoria kwa nchi ya Irak.

Neno limetoka katika lugha ya Kigiriki "Μεσοποταμία" kutokana na maneno asilia ya μεσο meso (kati ya) na ποταμός potamos (mto), hivyo ni "nchi kati ya mito". Mito hii ni Frati na Hidekeli.

Mesopotamia ilikuwa ya kwanza kati ya nchi kitovu cha ustaarabu wa binadamu hata kujenga miji ya kwanza kabisa duniani kama vile Sumeri na Babeli.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mesopotamia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.