Nenda kwa yaliyomo

Diomede wa Nisea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Diomede katika mchoro wa ukutani ulioko kwenye Mlima Athos, Ugiriki.

Diomede wa Nisea (Tarso, Kilikia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 - Nisea, Bitinia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa mganga Mkristo ambaye kwa imani yake hiyo aliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Juni[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/56560
  2. "Orthodox Saints and Feasts: The Holy Unmercenaries". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.