Mlima Athos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima ulivyo.

Mlima Athos unapatikana katika rasi ya Athos iliyopo katika Ugiriki Kaskazini Mashariki na tangu kale (walau mwaka 800) ni mahali pa monasteri za kiume za Kanisa la Kiorthodoksi.

Mlima huo, wenye urefu wa mita 2033 juu ya usawa wa bahari, umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia mwaka 1988.[1]

Mlima Athos unavyoonekana kutoka Kaskazini Magharibi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mount Athos. United Nations Educational Scientific and Cultural Organization.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Athos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.