John Fenn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Fenn

John Bennett Fenn (amezaliwa 15 Juni 1917 - 10 Desemba 2010) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali na sifa za spektrometria. Mwaka wa 2002, pamoja na Kurt Wüthrich na Koichi Tanaka alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Fenn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.