Paul Berg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Berg

Paul Berg (amezaliwa 30 Juni 1926) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa uchunguzi wake wa DNA. Mwaka wa 1980, pamoja na Walter Gilbert na Frederick Sanger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Berg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.