Papa Boniface I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Bonifas I.

Papa Boniface I alikuwa papa kuanzia 28 Desemba 418 hadi kifo chake tarehe 4 Septemba 422.

Alimfuata Papa Zosimus akafuatwa na Papa Selestino I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.