Nenda kwa yaliyomo

Funguvisiwa la Britania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Britania.

Funguvisiwa la Britania ni kundi la visiwa vya Ulaya ya kaskazini-magharibi.

Jumla ni visiwa zaidi ya 6,000 vyenye eneo la km² 315,134, lakini ni hasa visiwa viwili vikubwa, vichache vya wastani na vingi vidogo.

Visiwa vikubwa ni hasa:

Visiwa vidogo kiasi ni:

Wakazi ni 71,881,243 (2018).

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Funguvisiwa la Britania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.