Kisiwa cha Man
Mandhari
(Elekezwa kutoka Isle of Man)
Kisiwa cha Man (kwa Kimanx: Ellan Vannin; kwa Kiingereza: Isle of Man) ni kisiwa kilichopo baharini kati ya Uingereza na Eire chenye wakazi 75,000 kwenye eneo la km² 572.
Man ni eneo chini ya taji la Uingereza, si sehemu ya Ufalme wa Muungano wenyewe.
Lugha rasmi ni Kiingereza pamoja na Kimanx ambacho ni lugha ya Kikelti. Hakuna tena wasemaji wa Kimanx kama lugha ya kwanza, lakini inafundishwa shuleni.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Manx Government Website A comprehensive site covering many aspects of Manx life from fishing to financial regulation
- Google Maps Satellite Photo
- Isle of Man entry at The World Factbook
- Isle of Man Guide Large website about the island
- Information on places in the Isle of Man Ilihifadhiwa 7 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.
- Tynwald.org Hansards, Order Papers and Background to the Manx Government.
- Manx Radio The Government/commercial funded radio station for the Isle of Man
- Birching in the Isle of Man 1945-1976 Article about the use of the birch as a judicial punishment in the Isle of Man.
- Manx Notebook Ilihifadhiwa 18 Machi 2006 kwenye Wayback Machine. Manx History Archive.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Man kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |