Kimanx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Man (nyekundu) katika ramani ya Funguvisiwa la Britania.

Kimanx ni mojawapo kati ya lugha za Kiselti. Kilikuwa kinatumika katika kisiwa cha Man lakini hakuna tena wasemaji wa Kimanx kama lugha ya kwanza.

Hata hivyo, katika kisiwa kicho ni lugha rasmi na inafundishwa shuleni.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanx kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.