Isle of Man
(Elekezwa kutoka Kisiwa cha Man)

Isle of Man (Kimanx: Ellan Vannin; "Kisiwa cha Man") ni kisiwa baharini kati ya Uingereza na Ueire chenye wakazi 75,000 kwenye eno la 572 km².
Man ni eneo chini ya taji la Uingereza si sehemu ya Uingereza yenyewe. Douglas ni mji mkuu.
Lugha rasmi ni Kiingereza pamoja Kimanx ambacho ni lugha ya kikelti. Hakuna wasemaji wa Kimanx kama lugha ya kwanza tena lakini inafundihswa shuleni.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Manx Government Website A comprehensive site covering many aspects of Manx life from fishing to financial regulation
- Google Maps Satellite Photo
- Isle of Man entry at The World Factbook
- Isle of Man Guide Large website about the island
- Information on places in the Isle of Man Archived 7 Julai 2007 at the Wayback Machine.
- Tynwald.org Hansards, Order Papers and Background to the Manx Government.
- Manx Radio The Government/commercial funded radio station for the Isle of Man
- Birching in the Isle of Man 1945-1976 Article about the use of the birch as a judicial punishment in the Isle of Man.
- Manx Notebook Archived 18 Machi 2006 at the Wayback Machine. Manx History Archive.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isle of Man kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isle of Man kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |