Papa Eugenio III
Mandhari
Papa Eugenio III, O.Cist. (alifariki 8 Julai 1153) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/18 Februari 1145 hadi kifo chake [1]. Alitokea Pisa, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bernardo dei Paganelli di Montemagno.
Alimfuata Papa Lucius II akafuatwa na Papa Anastasio IV.
Tarehe 28 Desemba 1872 Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |