Kaisari Leo V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sarafu yenye sura yake na ya mwanae Konstantino.

Kaisari Leo V (775 hivi - 25 Desemba 820) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 813[1] hadi 820, alipouawa.

Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: