Harold L. Davis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harold Lenoir Davis (18 Oktoba 189431 Oktoba 1960) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1936 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Honey in the Horn.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harold L. Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.