Nenda kwa yaliyomo

Oliver Tambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oliver Tambo
Jina la kuzaliwa Oliver Reginald Tambo
Alizaliwa (1917-10-27)Oktoba 27, 1917
Alikufa 24 Aprili 1993 (umri 75)
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwanasiasa pia Mwanaharakati wa kupiga
vita dhidi ya ubaguzi wa rangi
Ndoa Adelaide Tambo
Watoto Dali Tambo (mvulana), Tselane Tambo (binti), Thembi Tambo (binti)

Oliver Reginald Tambo (27 Oktoba 1917 - 24 Aprili 1993) alikuwa kiongozi wa kisiasa aliyepiga vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini. Tambo pia alikuwa rais wa chama cha African National Congress (kifupisho: ANC).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver Tambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.