Nenda kwa yaliyomo

Mchekeshaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laurel and Hardy, jozi la wachecheshaji maarufu la Hollywood, Marekani.

Mchekeshaji (kwa Kiingereza: comedian au comic) ni mtu anayetoa maneno ya mzaha, au anaigiza kwa vichekesho.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchekeshaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.