Nenda kwa yaliyomo

Papa Honorius I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Honori I.

Papa Honorius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Oktoba 625 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 638[1]. Alitokea Campania, Italia[2].

Alimfuata Papa Bonifasi V akafuatwa na Papa Severino.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.