Papa Theodor II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Theodori II.

Papa Theodor II alikuwa Papa kwa siku ishirini tu hadi kifo chake mwezi wa Desemba 897 au Januari 898[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Theodorus.

Alimfuata Papa Romanus akafuatwa na Papa Yohane IX.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Theodor II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.