Papa Callixtus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Kalisti II.

Papa Callixtus II alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Februari 1119 hadi kifo chake tarehe 13 Desemba 1124.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido wa Vienna.

Alimfuata Papa Gelasio II akafuatwa na Papa Honori II.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Callixtus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.