Papa Gelasio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Gelasio II.

Papa Gelasio II, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Januari 1118 hadi kifo chake tarehe 29 Januari 1119. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Caetani au Coniulo.

Alikuwa mmonaki wa Wabenedikto wa Monte Cassino (Italia).

Alimfuata Papa Paskali II akafuatwa na Papa Callixtus II.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.