Papa Konon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Kononi.

Papa Konon alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Oktoba 686 hadi kifo chake tarehe 21 Septemba 687[1].

Alimfuata Papa Yohane V akafuatwa na Papa Sergio I.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Konon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.