6 Julai
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Julai ni siku ya 187 ya mwaka (ya 186 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 178.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1758 - Uchaguzi wa Papa Klementi XIII
- 1964 - Nchi ya Malawi inapata uhuru kutoka Uingereza
- 1975 - Visiwa vya Komori vinapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1859 - Verner von Heidenstam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1916
- 1903 - Hugo Theorell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955
- 1907 - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 1937 – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 1946 - George W. Bush, Rais wa Marekani (2001-2009)
- 1970 - Inspectah Deck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1982 - Tay Zonday, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1535 - Mtakatifu Thomas More, mwanasheria kutoka Uingereza, aliuawa kwa imani yake
- 1902 - Mtakatifu Maria Goretti, bikira mfiadini wa Italia
- 1962 - William Faulkner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1949
- 1971 - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz
- 2005 - Claude Simon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1985
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maria Goretti, Romolo wa Fiesole, Goar, Petro Wang Zuolong, Nazaria Ignasya n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |