Claude Simon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Claude Simon mnamo mwaka 1967

Claude-Eugène-Henri Simon (10 Oktoba 19136 Julai 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa aliandika riwaya ambazo zinahusu wakati wa vita. Mwaka wa 1985 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claude Simon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.