William Faulkner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Faulkner

Amezaliwa William Cuthbert Faulkner
25 Septemba 1897
Mississippi, Marekani
Amekufa 6 Julai 1962
Mississippi, Marekani
Nchi Marekani
Kipindi 1919-1962
Ndoa Estelle Oldham (1929–1962)

William Faulkner (25 Septemba 18976 Julai 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Miaka ya 1955 na 1963 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi, mara ya pili baada ya kifo chake tu.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Faulkner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.