Nenda kwa yaliyomo

Hugo Theorell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hugo Theorell

Axel Hugo Teodor Theorell (6 Julai 190315 Agosti 1982) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Hasa alichunguza kazi ya vimeng’enya katika chembe hai. Mwaka wa 1955 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hugo Theorell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.