Mwanasheria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mwanasheria ni mtaalamu wa fani ya sheria.

Mara nyingi huingia katika kazi ya wakili, lakini anaweza vilevile kufundisha sheria katika vyuo, kuwa mshauri wa kampuni n.k.

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanasheria kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.