10 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Julai ni siku ya 191 ya mwaka (ya 192 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 174.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1792 - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)
- 1856 - Nikola Tesla, mwanafizikia kutoka Austria-Hungaria
- 1871 - Marcel Proust, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1902 - Kurt Alder, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950
- 1920 - Owen Chamberlain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 1925 - Mahathir Mohamad, Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia (1981-2003, 2018-2020)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi, Filipo na wenzao, Rufina na Sekunda, Anatolia na Viktoria, Januari na Marino, Apoloni wa Sardi, Leonsi, Morisi na wenzao, Bianori na Silvani, Paskari wa Nantes, Amalberga wa Maubeuge, Petro Vincioli, Kanuti IV, Antoni Nguyen Quynh, Petro Nguyen Khac Tu n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |