Leonsi, Morisi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonsi, Morisi na wenzao Danieli, Antoni, Aniseti, Sisini na wengine 39 (walifariki Nikopoli ya Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, 319 hivi) walikuwa Wakristo ambao, baada ya kuteswa kikatili, waliuawa kwa imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.