Armenia ya Kale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Armenia ya Kale, 150 KK.

Armenia ya Kale ilikuwa nchi muhimu ya Asia Magharibi. Polepole ilirudi nyuma na wakazi wake waliangamizwa au kuhama.

Katika nchi ndogo ya Kaukazi inayoitwa Armenia leo, wako watu milioni 3, kumbe milioni 8 wanaishi kwingine.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armenia ya Kale kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.