Nikola Tesla
Mandhari
Nikola Tesla | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 10 Julai 1856 Austria-Hungaria |
Alikufa | 7 Januari 1943 New York |
Nchi | Austria-Hungaria, Marekani |
Kazi yake | mhandisi na mwanafizikia |
Nikola Tesla (10 Julai 1856 – 7 Januari 1943; Kiserbokroatia: Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mwanafizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marekani.
Tesla alizaliwa katika familia ya Kiserbia, alisoma uhandisi akajishughulisha hasa na umeme na sumakuumeme.
Mwaka 1884 alihamia Marekani alipoajiriwa na Thomas Edison lakini baadaye alitoka katika kampuni yake.
Kati ya mengi aliyobuni au aliyochangia kuna
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Nikola Tesla Museum
- Tesla's Wardenclyffe Science Center Plaque [1]
- NikolaTesla.fr Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine. - More than 1,000 documents on Tesla