Nenda kwa yaliyomo

Petro Vincioli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Petro Vincioli alivyochorwa na Perugino.

Petro Vincioli, O.S.B. (Agello[1], Umbria, karne ya 10Perugia, 1022) alikuwa mmonaki padri Mbenedikto wa Italia ya Kati aliyejenga upya kanisa la Mtume Petro huko Perugia akawa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu nalo na ambalo, kwa kuvumilia mapingamizi mengi, aliifanya ifuate taratibu za urekebisho wa Cluny [2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Julai[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. “Vite di IX soggetti della famiglia Vincioli ven. ed insigni nella santità e nella carità cristiana” di G. Vincioli 1734 - p. 18
  2. "Perugia Augusta descritta da Cesare Crispolti perugino" - Libro Primo pp. 87-95.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91329
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.