Upadri


Upadri ni daraja takatifu ya kati katika uongozi wa Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa ya Ukristo.
Unatolewa na Askofu kwa kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea ili atoe vizuri huduma za kikuhani, hasa kwa kuhubiri rasmi Neno la Mungu, kuadhimisha Ekaristi na sakramenti nyingine na kuongoza jumuia za waamini.
Upadri unatolewa kwa namna ya kudumu, usiweze kurudiwa wala kufutwa.
Katika Agano Jipya[hariri | hariri chanzo]
Shirika la kwanza la Kanisa la Yerusalemu lilikuwa na wasomi wengi sawa na lile la sinagogi la Uyahudi, lakini lilikuwa na Halmashauri ya wazee waliowekwa (πρεσβύτεροι, wazee)
Katika Matendo ya Mitume 11:30 na 15: 22 tunaona mfumo wa washirika wa uongozi huko Yerusalemu ingawa unaongozwa na Yakobo Mdogo, askofu wa kwanza wa mji huo. Katika Matendo 14: 23, Mtume Paulo anaweka wakubwa katika makanisa aliyoanzisha.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Kanisa Katoliki[hariri | hariri chanzo]
- The Hierarchy of the Catholic Church Current and historical information about its bishops and dioceses (includes current and historical demographics for priests)
- VISION Vocation Guide information about Roman Catholic priesthood and religious life with directory of men's religious communities and diocesan links.
- Milwaukee Holy Orders: The Making of a Priest Archived Machi 16, 2016 at the Wayback Machine. Documentary produced by Milwaukee PBS
Makanisa ya Kiorthodoksi[hariri | hariri chanzo]
- orthodoxwiki article on Orthodox Priesthood
- Church etiquette (Ukrainian tradition) (including how to greet a priest or bishop)
- Clergy Etiquette
- A Son's Journey to the Priesthood, Antiochian Archdiocese
- Q&A on the Priesthood from the Orthodox Church in America Archived Juni 7, 2011 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Upadri kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |