Uzembe
Jump to navigation
Jump to search
Jacques Callot, Accidia (1620).

Dürer, Melencholia (1514).
Vilema vikuu |
---|
Uzembe (kwa Kilatini acedĭa, kutoka Kigiriki ἀκηδία, linaloundwa na ἀ- "utovu wa" -κηδία "juhudi") ni kukosa uwajibikaji na umakinifu katika kutenda, pamoja na kutojali hali ya mazingira[1] .
Katika maadili, unahesabiwa kati ya vilema vikuu (au mizizi ya dhambi) kwa kuwa unasababisha makosa mengine mengi kwa kumfanya mtu asitimize wajibu[2].
Wa kwanza kutambua shida hiyo walikuwa wamonaki.
Ufafanuzi wa Thoma wa Akwino
Thomas Aquinas katika Summa Theologica (Secunda Secundae, Q. 35) alichunguza sana uzembe na kuufafanua kama "huzuni kadiri ya dunia" inayoleta "kifo" (hadi kujua), kinyume cha "huzuni kadiri ya Mungu" iliyotajwa na Mtume Paulo (2Kor 7:10).[3]
Tanbihi
- ↑ "accidie" The Concise Oxford Dictionary of the Christian Church. Ed. E. A. Livingstone. Oxford University Press, 2006. Oxford Reference Online. Oxford University Press. 1 November 2011
- ↑ the hermitary and Meng-hu (2004). Acedia, Bane of Solitaries. Jalada kutoka ya awali juu ya 3 January 2009. Iliwekwa mnamo 22 Dec 2008.
- ↑ Summa, II-II, 35, 3.
Viungo vya nje
- "Struggling with a 'bad thought'" by Kathleen Norris, Special to CNN, 6 April 2010
- Spiritual Apathy: The Forgotten Deadly Sin by Abbot Christopher Jamison
- The sin of sloth or the illness of the demons? – The demon of acedia in early Christian monasticism, Andrew Crislip, Harvard Theological Review, 1 April 2005, published by the Cambridge University Press
- Acedia, Tristitia and Sloth: Early Christian Forerunners to Chronic Ennui
- Falling Out of Love: Akedia (acedia) and spiritual apathy
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |