Uvivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Scene in club lounge, mchoro wa Thomas Rowlandson.

Uvivu ni tabia ya kupenda kukaa bila kazi maalumu au kuifanya bila bidii; hali hiyo inamfanya mtu ajihisi daima na uchovu na kwamba hawezi kufanya kazi ingawa mwili wake ni mzima kabisa.