Wito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wito (pia: mwito; kutoka kitenzi "kuita"; kwa Kiingereza: call) ni agizo au kaulimbiu inayotolewa na mtu au chombo kuhamasisha au kudai watu kuhusu jambo fulani.

Katika dini mbalimbali ni kama sauti kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayomuelekeza mtu fulani afanye nini katika maisha yake, kwa mfano kutoa unabii.