Nenda kwa yaliyomo

Ahadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katuni ikionyesha ahadi za uongo za serikali ya China hadi zikaja kujulikana.

Ahadi ni hali ya kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu.

Kwa mfano, ahadi yaweza kutolewa kama zawadi, shukrani na hata pongezi kwa mtu fulani.

Msemo muhimu unafundisha kwamba "Ahadi ni deni". Hata hivyo mara nyingi ahadi ni za uongo au hazitimizwi kwa wakati uliopangwa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.