Uzinifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Goya Mujeres riendo (Wanawake wakicheka).
Vilema vikuu

Uzinifu ni hamu isiyoratibiwa ya ashiki katika maisha ya binadamu.

Kwa kawaida watu wanakubaliana kwamba utafutaji wa ashiki unahitaji kuwa na mipaka, hasa usilenge ndugu wa damu.

Katika maadili unaorodheshwa kati ya vilema vikuu vilivyo mizizi ya dhambi nyingine, Biblia inavyoonyesha wazi katika habari ya mfalme Daudi kuzini na mke wa askari wake Uria Mhiti (2Sam 11-12).


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]