Hasira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Hasira ya Akile dhidi ya Agamemnon ilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
Vilema vikuu

Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama mbele ya kipingamizi.

Isiporatibiwa na mtu inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha mithali ya Kiswahili, "Hasira, hasara".

Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya vilema vikuu ambavyo ni mizizi ya dhambi nyingine.