Rufina na Sekunda
Mandhari

Rufina na Sekunda (walifariki karibu na Roma, Italia, 257) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Valeriani[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "SS. Rufina and Secunda, Virgins, Martyrs", Butler's Lives of the Saints
- Catholic Encyclopedia: Sts. Rufina- various saints named Rufina
- Saint of the Day, July 10: Rufina and Secunda Ilihifadhiwa 8 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- De hellige Rufina og Secunda av Roma (257)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |