2 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Julai ni siku ya 183 ya mwaka (ya 184 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 182.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 419 - Valentinian III, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (425-455)
- 1862 - William Henry Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
- 1877 - Hermann Hesse, mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946
- 1906 - Hans Bethe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 1923 - Wislawa Szymborska, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1996
- 1925 - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1946 - Richard Axel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2004
- 1954 - Omar Shabani Kwaangw', mwanasiasa wa Tanzania
- 1958 - Mwenye heri Zbigniew Strzałkowski, padri wa Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Poland aliyefia dini nchini Peru
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1616 - Mtakatifu Bernardino Realino, S.J., padri wa Italia
- 1778 - Jean-Jacques Rousseau, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1961 - Ernest Hemingway, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1954
- 1977 - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prosesi na Martiniani, Liberati, Bonifasi na wenzao, Monegunda, Swithun wa Winchester, Lidano, Bernardino Realino n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |