Lidano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lidano (Antinum, 1026 - Monte Cassino, 1118[1] ) alikuwa abati Mbenedikto anayesifiwa kwa kukausha madimbwi ya Lazio kusini, Italia, na kwa kuanzisha[2] monasteri ya Sezze katika Dola la Papa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint Lidanus. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-07-07. Iliwekwa mnamo 2017-10-24.
  2. St. Lidanus. Catholic.org. Iliwekwa mnamo 6 July 2009.