Omar Shabani Kwaangw'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Omar Shabani Kwaangw' (amezaliwa tar. 2 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Babati Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Omar Shabani Kwaangw' (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]