Hermann Hesse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Hermann Hesse katika mji wa Calw
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Hermann Hesse (2 Julai 18779 Agosti 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alihamia Uswisi. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hermann Hesse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.