Liberati, Bonifasi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Liberati, Bonifasi na wenzao Servyo, Rustiko, Rogati, Setimo na Masimo ni wamonaki wa Kanisa Katoliki huko Gafsa (leo nchini Tunisia) waliouawa kikatili na Wavandali huko Karthago mwishoni mwa karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Papa Klementi X alithibitisha heshima hiyo tarehe 6 Juni 1671.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Julai[1] [2], ila kwa Waaugustino ni 26 Agosti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liberati, Bonifasi na wenzao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.